The Bible Software
bible.softwareMarkMark 14 › Mark 14:32

Mark 14:32

Wakaenda mahali paitwapo Gethsemane. Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa, nami niende nikaombe.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they came to a place which was named Gethsemane: and he saith to his disciples, Sit ye here, while I shall pray.

In Context

31Lakini Petro akasisitiza zaidi, “Hata kama itabidi kufa pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Nao wale wengine wote wakasema vivyo hivyo. 1 Yesu Aomba Katika Bustani Ya Gethsemane (Mathayo 26:36-46; Luka 22:39-46)

33Kisha akawachukua pamoja naye Petro, Yakobo na Yohana. Akaanza kuhuzunika sana na kutaabika.

Read all of Mark 14

Cross References

Psalms 22:1Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? 2 Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa? 2 Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu? 1

Psalms 109:4Wanachonilipa badala ya urafiki wangu ni kunishtaki, 2 lakini mimi ninawaombea. 1

Mark 14:36Akasema, “ Abba, + 14:36 Abba ni neno la Kiaramu ambalo maana yake ni Baba; ni mtoto wa kuzaa tu angeweza kulitumia kwa baba yake. Baba, mambo yote yawezekana kwako. Niondolee kikombe hiki. Lakini si kama nipendavyo mimi, bali vile upendavyo wewe.”

Luke 22:39Yesu akatoka, akaenda kwenye Mlima wa Mizeituni kama ilivyokuwa kawaida yake, nao wanafunzi wake wakamfuata.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 14:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 14:31Mark 14Mark 14:33 →