Mark 14:33
Kisha akawachukua pamoja naye Petro, Yakobo na Yohana. Akaanza kuhuzunika sana na kutaabika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he taketh with him Peter and James and John, and began to be sore amazed, and to be very heavy;
In Context
34Akawaambia, “Moyo wangu umejawa na huzuni kiasi cha kufa. Kaeni hapa na mkeshe.”
Cross References
Psalms 38:11Rafiki na wenzangu wananikwepa 2 kwa sababu ya majeraha yangu; 2 majirani zangu wanakaa mbali nami. 1
Psalms 88:14Ee Bwana, kwa nini unanikataa 2 na kunificha uso wako? 1
Matthew 26:37Akamchukua Petro pamoja na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuhuzunika na kufadhaika.
Mark 5:37Hakumruhusu mtu mwingine yeyote amfuate isipokuwa Petro, Yakobo na Yohana, nduguye Yakobo.
Luke 22:44Naye akiwa katika maumivu makuu, akaomba kwa bidii, nalo jasho lake likawa kama matone ya damu yakidondoka ardhini.