Matthew 27:31
Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakampeleka ili wakamsulubishe. 1 Yesu Asulubishwa (Marko 15:21-32; Luka 23:26-43; Yohana 19:17-27)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Wakamtemea mate, wakachukua ile fimbo wakampiga kichwani tena na tena.
Cross References
Numbers 15:35Ndipo Bwana akamwambia Mose, “Huyo mtu ni lazima afe. Kusanyiko lote lazima limpige mawe nje ya kambi.”
1 Kings 21:13Kisha watu wawili wabaya kabisa wakaja wakaketi mkabala naye, nao wakaleta mashtaka dhidi ya Nabothi mbele ya watu, wakisema, “Nabothi amemlaani Mungu na mfalme.” Kwa hiyo wakamtoa nje na kumpiga kwa mawe hadi akafa.
Matthew 20:19na kumtia mikononi mwa watu wa Mataifa ili wamdhihaki na kumpiga mijeledi na kumsulubisha msalabani. Naye atafufuliwa siku ya tatu!” 1 Ombi La Mama Yake Yakobo Na Yohana (Marko 10:35-45)
John 19:16Ndipo Pilato akamkabidhi Yesu kwao ili wamsulubishe. 1 Kusulubiwa Kwa Yesu (Mathayo 27:32-44; Marko 15:21-32; Luka 23:26-43) Kwa hiyo askari wakamchukua Yesu.
Acts 7:58Wakamtupa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka mavazi yao miguuni mwa kijana mmoja ambaye jina lake aliitwa Sauli.