Mark 15:31
Vivyo hivyo, viongozi wa makuhani pamoja na walimu wa sheria wakamdhihaki miongoni mwao wakisema, “Aliwaokoa wengine, lakini hawezi kujiokoa mwenyewe!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30basi shuka kutoka msalabani na ujiokoe mwenyewe!”
Cross References
Psalms 22:16Mbwa wamenizunguka, 2 kundi la watu waovu limenizingira, 2 wametoboa mikono yangu na miguu yangu. 1
Luke 23:35Watu wakasimama hapo wakimwangalia, nao viongozi wa Wayahudi wakamdhihaki wakisema, “Aliokoa wengine! Ajiokoe mwenyewe basi, kama yeye ndiye Kristo wa Mungu, Mteule wake.”
John 12:23Yesu akawajibu, “Saa imewadia ya Mwana wa Adamu kutukuzwa.