Mark 15:38
Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili kuanzia juu hadi chini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the veil of the temple was rent in twain from the top to the bottom.
In Context
37Kisha Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho.
Cross References
Exodus 40:20Akachukua ule Ushuhuda na kuuweka ndani ya Sanduku la Agano, akaweka ile mipiko ya kubebea hilo Sanduku na kuweka kiti cha rehema juu yake.
2 Chronicles 3:8Akajenga Patakatifu pa Patakatifu, urefu na upana wake ulikuwa dhiraa ishirini, sawasawa na upana wa Hekalu. Alifunika ndani kwa talanta 120 + 3:8 Talanta 120 za dhahabu ni sawa na tani 23. za dhahabu safi.
Luke 23:45kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili.
Hebrews 6:19Tunalo tumaini hili kama nanga ya roho iliyo imara na thabiti. Tumaini hili huingia katika sehemu takatifu iliyopo nyuma ya pazia,
Hebrews 10:19Kwa hiyo, ndugu zangu, kwa kuwa tunao ujasiri wa kupaingia Patakatifu pa Patakatifu kwa damu ya Yesu,