Luke 23:45
kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sun was darkened, and the veil of the temple was rent in the midst.
In Context
44Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa,
Cross References
Exodus 26:31“Tengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu na kitani safi iliyosokotwa vizuri, naye fundi stadi atirizi makerubi kwenye hilo pazia.
2 Chronicles 3:14Akatengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na za kitani safi, na kutarizi makerubi juu yake.
Mark 15:38Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili kuanzia juu hadi chini.
Hebrews 6:19Tunalo tumaini hili kama nanga ya roho iliyo imara na thabiti. Tumaini hili huingia katika sehemu takatifu iliyopo nyuma ya pazia,
Hebrews 10:19Kwa hiyo, ndugu zangu, kwa kuwa tunao ujasiri wa kupaingia Patakatifu pa Patakatifu kwa damu ya Yesu,