Mark 15:5
Lakini Yesu hakujibu lolote, hivyo Pilato akashangaa. 1 Pilato Amtoa Yesu Asulubiwe (Mathayo 27:15-26; Luka 23:13-25; Yohana 18:39–19:16)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But Jesus yet answered nothing; so that Pilate marvelled.
In Context
4Pilato akamuuliza tena, “Je, huna la kujibu? Tazama ni mashtaka mangapi wanayaleta juu yako.”
6Ilikuwa desturi wakati wa Sikukuu ya Pasaka kumfungulia mfungwa yeyote ambaye watu wangemtaka.
Cross References
Psalms 71:7Nimekuwa kama kioja kwa wengi, 2 lakini wewe ni kimbilio langu imara. 1
Isaiah 53:7Alionewa na kuteswa, 2 hata hivyo hakufungua kinywa chake; 1 aliongozwa kama mwana-kondoo 2 apelekwaye machinjoni, 1 kama vile kondoo anyamazavyo mbele ya wao wamkataye manyoya, 2 hivyo hakufungua kinywa chake. 1
Matthew 27:14Lakini Yesu hakumjibu hata kwa shtaka moja, kiasi kwamba mtawala alishangaa sana.
1 Corinthians 4:9Kwa maana ninaona kwamba Mungu ametuweka sisi mitume katika nafasi ya mwisho kabisa, kama watu waliohukumiwa kufa kwenye uwanja wa tamasha, kwa sababu tumefanywa kuwa maonyesho kwa ulimwengu wote, kwa malaika na kwa wanadamu pia.