Mark 16:5
Walipokuwa wakiingia mle kaburini, wakamwona kijana mmoja aliyevaa joho jeupe akiwa ameketi upande wa kuume, nao wakastaajabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Daniel 8:17Alipokuwa akikaribia pale nilipokuwa nimesimama, niliogopa, nikaanguka kifudifudi. Akaniambia, “Mwana wa mwanadamu, fahamu kuwa maono haya yanahusu siku za mwisho.”
Daniel 10:12Ndipo akaendelea kusema, “Danieli, usiogope. Tangu siku ya kwanza ulipotia moyo wako ili kupata ufahamu na kujinyenyekeza mbele ya Mungu wako, maneno yako yalisikiwa, nami nimekuja ili kujibu maneno yako.
Mark 6:49lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu. Wakapiga yowe,
Luke 1:12Zekaria alipomwona huyo malaika, akafadhaika sana, akajawa na hofu.
Luke 24:3lakini walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa Bwana Yesu.
John 20:11Lakini Maria Magdalene akasimama nje ya kaburi akilia. Alipokuwa akilia, akainama, kuchungulia mle kaburini,