Mathayo 13:11
Akawajibu, “Ninyi mmepewa kuzifahamu siri za Ufalme wa Mbinguni, lakini wao hawajapewa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?”
Cross References
Psalms 25:8Bwana ni mwema na mwenye adili, 2 kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake. 1
Isaiah 29:10Bwana amewaleteeni usingizi mzito: 2 Ameziba macho yenu (ninyi manabii); 2 amefunika vichwa vyenu (ninyi waonaji).
Matthew 11:25Wakati huo Yesu alisema, “Nakuhimidi Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, nawe ukawafunulia watoto wadogo.
Matthew 19:11Yesu akawaambia, “Si watu wote wanaoweza kupokea neno hili, isipokuwa wale tu waliojaliwa na Mungu.
Luke 8:10Naye akasema, “Ninyi mmepewa kufahamu siri za Ufalme wa Mungu, lakini kwa wengine nazungumza kwa mifano, ili, 1 “ ‘ingawa wanatazama, wasione; 2 ingawa wanasikiliza, wasielewe.’
John 6:65Akaendelea kusema, “Hii ndiyo sababu niliwaambia kwamba hakuna mtu awezaye kuja kwangu isipokuwa amejaliwa na Baba yangu.”