Mark 4:6
Lakini jua lilipozidi, mimea ikanyauka na kukauka kwa kuwa mizizi yake haikuwa na kina.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But when the sun was up, it was scorched; and because it had no root, it withered away.
In Context
Cross References
Psalms 92:13waliopandwa katika nyumba ya Bwana, 2 watastawi katika nyua za Mungu wetu. 1
Isaiah 25:4Umekuwa kimbilio la watu maskini, 2 kimbilio la mhitaji katika taabu yake, 1 hifadhi wakati wa dhoruba 2 na kivuli wakati wa hari. 1 Kwa maana pumzi ya wakatili 2 ni kama dhoruba ipigayo ukuta 2
Jonah 4:8Wakati jua lilipochomoza, Mungu akautuma upepo wa hari wa mashariki, nalo jua likawaka juu ya kichwa cha Yona mpaka akazimia. Akatamani kufa, naye akasema, “Ni afadhali mimi nife kuliko kuishi.”
Colossians 2:7mkiwa na mizizi, na mmejengwa ndani yake, mkiimarishwa katika imani kama mlivyofundishwa, na kufurika kwa wingi wa shukrani.
James 1:11Kwa maana jua kali lenye kuchoma huchomoza na kuliunguza, likayakausha majani, na ua lake likapukutika, nao uzuri wake huharibika. Vivyo hivyo tajiri naye atanyauka akiwa anaendelea na shughuli zake. 1 Kujaribiwa
Revelation 7:16Kamwe hawataona njaa 2 wala kiu tena. 1 Jua halitawapiga 2 wala joto lolote liunguzalo. 1