Mark 5:33
Yule mwanamke, akijua kilichomtokea, akaja, akaanguka miguuni pake akitetemeka kwa hofu, akamweleza ukweli wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
32Lakini Yesu akaangalia pande zote ili aone ni nani aliyemgusa.
Cross References
Psalms 66:16Njooni msikilize ninyi nyote mnaomcha Mungu, 2 nami niwaambie aliyonitendea. 1
Psalms 116:12Nimrudishie Bwana nini 2 kwa wema wake wote alionitendea? 1
Luke 1:12Zekaria alipomwona huyo malaika, akafadhaika sana, akajawa na hofu.
Luke 8:47Yule mwanamke alipofahamu ya kuwa hawezi kuendelea kujificha, alikuja akitetemeka, akaanguka miguuni mwa Yesu. Akaeleza mbele ya watu wote kwa nini alimgusa na jinsi alivyoponywa mara.