Mark 5:42
Mara yule msichana akasimama, akaanza kutembea (alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili). Walipoona haya, wakastaajabu sana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Mark 1:27Watu wote wakashangaa, hata wakaulizana wao kwa wao, “Haya ni mambo gani? Ni mafundisho mapya, tena yenye mamlaka! Anaamuru hata pepo wachafu, nao wanamtii!”
Mark 6:51Akapanda ndani ya mashua nao, na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa,
Acts 3:10wakamtambua kuwa ni yule mtu aliyekuwa akiketi nje ya Hekalu penye lango liitwalo Zuri akiomba msaada, nao wakajawa na mshangao, wakastaajabu juu ya yale yaliyomtukia. 1 Petro Anashuhudia Kuwa Yesu Anaponya