Mark 5:43
Yesu akawaagiza kwa ukali wasimweleze mtu yeyote jambo hilo, naye akawaambia wampe yule msichana chakula.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 9:30Macho yao yakafunguka. Yesu akawaonya vikali, akisema, “Angalieni mtu yeyote asijue kuhusu jambo hili.”
Matthew 17:9Walipokuwa wakishuka kutoka mlimani, Yesu akawaagiza, “Msimwambie mtu yeyote mambo mliyoyaona hapa, mpaka Mwana wa Adamu atakapofufuliwa kutoka kwa wafu.”
Mark 3:12Lakini aliwaonya wasimseme yeye ni nani. 1 Yesu Achagua Mitume Kumi Na Wawili (Mathayo 10:1-4; Luka 6:12-16)
Luke 5:14Yesu akamwagiza akisema, “Usimwambie mtu yeyote, bali nenda ukajionyeshe kwa kuhani na ukatoe sadaka alizoagiza Mose kwa utakaso wako, ili kuwa ushuhuda kwao.”
Luke 24:30Alipokuwa mezani pamoja nao, akachukua mkate, akashukuru, akaumega, akaanza kuwagawia.
John 5:41“Mimi sitafuti kutukuzwa na wanadamu.