Mark 6:12
Kwa hiyo wakatoka na kuhubiri kwamba inawapasa watu kutubu na kuacha dhambi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they went out, and preached that men should repent.
In Context
Cross References
Ezekiel 18:30“Kwa hiyo, ee nyumba ya Israeli, nitawahukumu, kila mmoja sawasawa na njia zake, asema Bwana Mwenyezi. Tubuni! Geukeni kutoka makosa yenu yote, ndipo dhambi haitakuwa anguko lenu.
Matthew 3:8Basi zaeni matunda yastahiliyo toba.
Matthew 9:13Nendeni mkajifunze maana ya maneno haya: ‘Nataka rehema, wala si dhabihu.’ Kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.” 1 Yesu Aulizwa Kuhusu Kufunga (Marko 2:18-22; Luka 5:33-39)
Mark 1:3“sauti ya mtu aliaye nyikani. 1 ‘Itengenezeni njia ya Bwana, 2 yanyoosheni mapito yake.’ ”
Luke 9:6Hivyo wale wanafunzi wakaondoka wakaenda kutoka kijiji hadi kijiji, wakihubiri habari njema na kuponya wagonjwa kila mahali. 1 Herode Afadhaika (Mathayo 14:1-12; Marko 6:14-29)
Luke 13:3La hasha! Ninyi nanyi msipotubu, mtaangamia vivyo hivyo.