Mathayo 11:17
“ ‘Tuliwapigia filimbi, 2 lakini hamkucheza; 1 tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, 2 lakini hamkuomboleza.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Kwa maana Yohana Mbatizaji alikuja, alikuwa hali wala hanywi, nao wanasema, ‘Yeye ana pepo mchafu.’
Cross References
1 Kings 1:40Na watu wote wakakwea wakimfuata, wakipiga filimbi na kushangilia sana, hata ardhi ikatikisika kwa ile sauti.
Isaiah 30:29Nanyi mtaimba kama usiku ule mnaadhimisha 2 sikukuu takatifu. 1 Mioyo yenu itashangilia 2 kama vile watu wanapokwea na filimbi 1 kwenye mlima wa Bwana, 2 kwa Mwamba wa Israeli. 1
Jeremiah 31:4Nitakujenga tena nawe utajengeka upya, 2 ewe Bikira Israeli. 1 Utachukua tena matari yako 2 na kwenda kucheza na wenye furaha. 1
Matthew 9:23Yesu alipofika nyumbani kwa yule kiongozi wa sinagogi na kuwaona waombolezaji wakipiga filimbi za maombolezo na watu wengi wakipiga kelele,
1 Corinthians 9:19Ingawa mimi ni huru, wala si mtumwa wa mtu yeyote, nimejifanya kuwa mtumwa wa kila mtu, ili niweze kuwavuta wengi kadri iwezekanavyo.