Matthew 11:16
“Lakini kizazi hiki nikifananishe na nini? Kinafanana na watoto waliokaa sokoni wakiwaita wenzao na kuwaambia, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Yeye aliye na masikio, na asikie.
Cross References
Matthew 12:34Enyi uzao wa nyoka! Mnawezaje kunena mambo mema, wakati ninyi ni waovu? Kwa maana kinywa cha mtu huyanena yale yaliyoujaza moyo wake.
Matthew 24:34Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Luke 7:31Yesu akawauliza, “Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Wanafanana na nini?