The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 9 › Matthew 9:23

Matthew 9:23

Yesu alipofika nyumbani kwa yule kiongozi wa sinagogi na kuwaona waombolezaji wakipiga filimbi za maombolezo na watu wengi wakipiga kelele,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when Jesus came into the ruler’s house, and saw the minstrels and the people making a noise,

In Context

22Yesu akageuka, naye alipomwona akamwambia, “Binti, jipe moyo mkuu, imani yako imekuponya.” Naye yule mwanamke akapona kuanzia saa ile ile. 1 Yesu Amfufua Binti Wa Kiongozi Wa Sinagogi

24akawaambia, “Ondokeni! Kwa maana binti huyu hakufa, bali amelala.” Wakamcheka kwa dhihaka.

Read all of Matthew 9

Cross References

Jeremiah 9:17Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Fikiri sasa! Waite wanawake waombolezao waje, 2 waite wale walio na ustadi kuliko wote. 1

Matthew 11:17“ ‘Tuliwapigia filimbi, 2 lakini hamkucheza; 1 tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, 2 lakini hamkuomboleza.’

Luke 7:32Wao ni kama watoto waliokaa sokoni wakiitana wao kwa wao, wakisema: 1 “ ‘Tuliwapigia filimbi, 2 lakini hamkucheza; 1 tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, 2 lakini hamkulia.’

Acts 9:39Kwa hiyo Petro akainuka akaenda nao, naye alipowasili, wakampeleka hadi kwenye chumba cha ghorofani alipokuwa amelazwa. Wajane wengi walisimama karibu naye wakilia na kuonyesha majoho na nguo nyingine ambazo Dorkasi alikuwa amewashonea alipokuwa pamoja nao.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 9:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 9:22Matthew 9Matthew 9:24 →