Matthew 11:2
Yohana aliposikia akiwa gerezani mambo ambayo Kristo + 11:2 Kristo maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta. alikuwa akiyafanya, aliwatuma wanafunzi wake
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now when John had heard in the prison the works of Christ, he sent two of his disciples,
In Context
3ili wakamuulize, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?”
Cross References
Matthew 4:12Yesu aliposikia kwamba Yohana Mbatizaji alikuwa ametiwa gerezani, alirudi Galilaya.
Matthew 14:3Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga na kumweka gerezani kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo, ndugu yake,
Luke 3:19Lakini Yohana alipomkemea Mfalme Herode kuhusu uhusiano wake na Herodia, mke wa ndugu yake, na maovu mengine aliyokuwa amefanya,
John 3:24(Hii ilikuwa kabla Yohana hajatiwa gerezani).
Acts 19:1Apolo alipokuwa huko Korintho, Paulo alisafiri sehemu za bara, akafika Efeso. Huko akawakuta wanafunzi kadhaa,