Matthew 4:12
Yesu aliposikia kwamba Yohana Mbatizaji alikuwa ametiwa gerezani, alirudi Galilaya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now when Jesus had heard that John was cast into prison, he departed into Galilee;
In Context
Cross References
Mark 1:14Baada ya Yohana kukamatwa na kutiwa gerezani, Yesu aliingia Galilaya akaanza kuhubiri habari njema ya Mungu,
Luke 3:20Herode aliongezea jambo hili kwa hayo mengine yote: alimfunga Yohana gerezani. 1 Kubatizwa Kwa Bwana Yesu (Mathayo 3:13-17; Marko 1:9-11)
Luke 4:31Kisha Yesu akashuka kwenda Kapernaumu, mji wa Galilaya, na katika siku ya Sabato akawa anafundisha.
John 4:43Baada ya zile siku mbili, Yesu aliondoka kwenda Galilaya.