Mathayo 11:24
Lakini nakuambia kwamba, itakuwa rahisi zaidi kwa Sodoma kustahimili katika siku ya hukumu kuliko wewe.” 1 Hakuna Amjuaye Baba Ila Mwana (Luka 10:21-22)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Lamentations 4:6Adhabu ya watu wangu 2 ni kubwa kuliko ile ya Sodoma, 1 ambayo ilipinduliwa ghafula 2 bila kuwepo mkono wa msaada. 1
Matthew 11:22Lakini nawaambia, itakuwa rahisi zaidi kwa Tiro na Sidoni kustahimili katika siku ya hukumu, kuliko ninyi.
Mark 6:11Kama mahali popote hawatawakaribisha wala kuwasikiliza, mtakapoondoka huko, kungʼuteni mavumbi kutoka kwenye miguu yenu ili kuwa ushuhuda dhidi yao.”