Mathayo 11:26
Naam, Baba, kwa kuwa hivyo ndivyo ilivyokupendeza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Even so, Father: for so it seemed good in thy sight.
In Context
Cross References
Isaiah 46:10Ni mimi nitangazaye mwisho tangu mwanzo, 2 naam, tangu zamani za kale, 2 mambo ambayo hayajatendeka. 1 Ninasema: Kusudi langu ndilo litakalosimama, 2 nami nitatenda mapenzi yangu yote. 1
Romans 9:18Kwa hiyo basi, Mungu humhurumia yeye atakaye kumhurumia na humfanya mgumu yeye atakaye kumfanya mgumu.
Ephesians 1:9Naye alitujulisha siri ya mapenzi yake sawasawa na uradhi wa mapenzi yake, ambayo alikusudia katika Kristo,
Ephesians 3:11sawasawa na kusudi lake la milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.