Mathayo 11:30
Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For my yoke is easy, and my burden is light.
In Context
Cross References
Micah 6:8Amekuonyesha yaliyo mema, ee mwanadamu. 2 Bwana anataka nini kwako? 1 Ila kutenda kwa haki na kupenda rehema, 2 na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako. 1 Hatia Na Adhabu Ya Israeli 1
Acts 15:10Sasa basi, mbona mnataka kumjaribu Mungu kwa kuweka kongwa shingoni mwa wanafunzi ambalo baba zetu wala sisi hatukuweza kulibeba?
2 Corinthians 1:4Yeye hutufariji katika taabu zetu, ili tuweze kuwafariji walio katika taabu yoyote kwa faraja ambayo sisi wenyewe tumepokea kutoka kwa Mungu.
2 Corinthians 12:9Lakini aliniambia, “Neema yangu inakutosha, kwa kuwa uweza wangu hukamilika katika udhaifu.” Kwa hiyo nitajisifu kwa furaha zaidi kuhusu udhaifu wangu, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu.
Galatians 5:18Lakini kama mkiongozwa na Roho, hamko chini ya sheria.
1 John 5:3Huku ndiko kumpenda Mungu, yaani, kuzitii amri zake. Nazo amri zake si nzito.