The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 12 › Matthew 12:17

Matthew 12:17

Hii ilikuwa ili litimie lile neno lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya kusema: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That it might be fulfilled which was spoken by Esaias the prophet, saying,

In Context

16akiwakataza wasiseme yeye ni nani.

18“Tazama mtumishi wangu niliyemchagua, 2 mpendwa wangu, ninayependezwa naye. 1 Nitaweka Roho wangu juu yake, 2 naye atatangaza haki kwa mataifa. 1

Read all of Matthew 12

Cross References

Isaiah 42:1“Huyu hapa mtumishi wangu, ninayemtegemeza, 2 mteule wangu, ambaye ninapendezwa naye; 1 nitaweka Roho yangu juu yake, 2 naye ataleta haki kwa mataifa. 1

Isaiah 44:26niyathibitishaye maneno ya watumishi wake, 2 na kutimiza utabiri wa wajumbe wake, 1 “niambiaye Yerusalemu, ‘Itakaliwa na watu,’ 2 niambiaye miji ya Yuda kuwa, ‘Itajengwa,’ 2 na kuhusu magofu yake, ‘Mimi nitayatengeneza,’ 1

Matthew 13:35Hii ilikuwa ili kutimiza lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii aliposema: 1 “Nitafungua kinywa changu niseme nao kwa mifano; 2 nitahubiri mambo yaliyofichika 2 tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.” 1 Ufafanuzi Wa Mfano Wa Magugu

Luke 21:22Kwa sababu huu utakuwa ni wakati wa adhabu ili kutimiza yote yaliyoandikwa.

John 10:35Kama aliwaita ‘miungu,’ wale ambao neno la Mungu liliwafikia, nayo Maandiko hayawezi kutanguka,

John 19:28Baada ya haya, Yesu hali akijua kuwa mambo yote yamemalizika, alisema ili kutimiza Maandiko, “Naona kiu.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 12:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 12:16Matthew 12Matthew 12:18 →