The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 12 › Mathayo 12:19

Mathayo 12:19

Hatagombana wala hatapiga kelele, 2 wala hakuna atakayesikia sauti yake njiani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He shall not strive, nor cry; neither shall any man hear his voice in the streets.

In Context

18“Tazama mtumishi wangu niliyemchagua, 2 mpendwa wangu, ninayependezwa naye. 1 Nitaweka Roho wangu juu yake, 2 naye atatangaza haki kwa mataifa. 1

20Mwanzi uliopondeka hatauvunja, 2 na utambi unaofuka moshi hatauzima, 1 mpaka atakapoifanya haki ishinde. 2

Read all of Mathayo 12

Cross References

Matthew 11:29Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu.

John 18:36Yesu akajibu, “Ufalme wangu si wa ulimwengu huu. Ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, wafuasi wangu wangenipigania ili nisitiwe mikononi mwa Wayahudi. Lakini kama ilivyo, ufalme wangu hautoki hapa ulimwenguni.”

2 Timothy 2:24Tena haimpasi mtumishi wa Bwana kuwa mgomvi, bali inampasa awe mwema kwa kila mtu, awezaye kufundisha, tena mvumilivu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 12:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 12:18Mathayo 12Mathayo 12:20 →