Mathayo 12:7
Kama mngekuwa mmejua maana ya maneno haya, ‘Nataka rehema, wala si dhabihu,’ msingewalaumu watu wasio na hatia,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Nawaambia wazi kwamba, yeye aliye mkuu kuliko Hekalu yupo hapa.
Cross References
Joshua 5:5Watu wote waliotoka Misri walikuwa wametahiriwa, lakini watu wote waliozaliwa jangwani wakiwa safarini toka Misri walikuwa hawajatahiriwa.
Psalms 94:21Huungana kuwashambulia wenye haki, 2 kuwahukumu kufa wasio na hatia. 1
Proverbs 17:15Yeye asemaye kuwa asiye na haki ana haki, 2 naye asemaye kuwa mwenye haki hana haki: 2 Bwana huwachukia sana wote wawili. 1
Hosea 6:6Kwa maana nataka rehema, wala si dhabihu, 2 kumkubali Mungu zaidi 2 kuliko sadaka za kuteketezwa. 1
Matthew 9:13Nendeni mkajifunze maana ya maneno haya: ‘Nataka rehema, wala si dhabihu.’ Kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.” 1 Yesu Aulizwa Kuhusu Kufunga (Marko 2:18-22; Luka 5:33-39)
Acts 13:27Kwa sababu wakaao Yerusalemu na viongozi wao hawakumtambua wala kuelewa maneno ya manabii yasomwayo kila Sabato, bali waliyatimiza maneno hayo kwa kumhukumu yeye.