Matthew 13:15
Kwa kuwa mioyo ya watu hawa imekuwa migumu; 2 hawasikii kwa masikio yao, 2 na wamefumba macho yao. 1 Wasije wakaona kwa macho yao, 2 na wakasikiliza kwa masikio yao, 2 wakaelewa kwa mioyo yao, 1 na kugeuka nami nikawaponya.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Lakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia.
Cross References
Psalms 119:70Mioyo yao ni katili na migumu, 2 bali mimi napendezwa na sheria yako. 1
Isaiah 6:10Fanya mioyo ya watu hawa kuwa migumu, 2 fanya masikio yao yasisikie, 2 na upofushe macho yao. 1 Wasije wakaona kwa macho yao, 2 na wakasikiliza kwa masikio yao, 2 wakaelewa kwa mioyo yao, 1 nao wakageuka, nikawaponywa.”
Isaiah 44:20Hujilisha kwa majivu, moyo uliodanganyika humpotosha; 2 hawezi kujiokoa mwenyewe, au kusema, 2 “Je, kitu hiki kilichoko katika mkono wangu wa kuume si ni uongo?” 1
Jeremiah 3:22“Rudini, enyi watu msio waaminifu, 2 nami nitawaponya ukengeufu wenu.” 1 “Naam, tutakuja kwako, 2 kwa maana wewe ni Bwana Mungu wetu. 1
Jeremiah 33:6“ ‘Hata hivyo, nitauletea afya na uponyaji, nitawaponya watu wangu na kuwafanya wafurahie amani tele na salama.
Zechariah 7:11“Lakini wakakataa kusikiliza, wakanipa kisogo kwa ukaidi na kuziba masikio yao.