Matthew 13:14
Kwao unatimia ule unabii wa Isaya aliposema: 1 “ ‘Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; 2 na pia mtatazama lakini hamtaona. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 6:9Akasema, “Nenda ukawaambie watu hawa: 1 “ ‘Mtaendelea daima kusikiliza, 2 lakini kamwe hamtaelewa; 1 mtaendelea daima kutazama, 2 lakini kamwe hamtatambua.’ 1
Mark 4:12ili, 1 “ ‘daima waone lakini wasitambue, 2 daima wasikie lakini wasielewe; 1 wasije wakageuka, wakatubu na kusamehewa!’ ” 1 Yesu Afafanua Maana Ya Mfano Wa Mbegu (Mathayo 13:18-23; Luka 8:11-15)
John 12:39Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine: 1
Romans 11:8kama ilivyoandikwa: 1 “Mungu aliwapa bumbuazi la mioyo, 2 macho ili wasiweze kuona, 2 na masikio ili wasiweze kusikia, 1 hadi leo.”