Matthew 13:21
Lakini kwa kuwa hana mizizi yenye kina ndani yake, lile neno hudumu kwa muda mfupi tu. Kisha dhiki au mateso yanapoinuka kwa ajili ya lile neno, yeye mara huchukizwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 19:28“Kama mkisema, ‘Tazama tutakavyomwinda, 2 maadamu mzizi wa tatizo uko ndani yake,’ 1
Psalms 36:3Maneno ya kinywa chake ni maovu na ya udanganyifu, 2 ameacha kuwa mwenye hekima na kutenda mema. 1
Proverbs 12:12Waovu hutamani mateka ya watu wabaya, 2 bali shina la mwenye haki hustawi. 1
Matthew 5:10Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, 2 maana Ufalme wa Mbinguni ni wao.
Matthew 7:26Naye kila anayesikia haya maneno yangu wala asiyatende, ni kama mtu mjinga aliyejenga nyumba yake kwenye mchanga.
Matthew 10:37“Yeyote ampendaye baba yake au mama yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu. Yeyote ampendaye mwanawe au binti yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu.