The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 13 › Matthew 13:36

Matthew 13:36

Kisha Yesu akaagana na makutano, akaingia nyumbani. Wanafunzi wake wakamjia wakamwambia, “Tueleze maana ya ule mfano wa magugu shambani.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then Jesus sent the multitude away, and went into the house: and his disciples came unto him, saying, Declare unto us the parable of the tares of the field.

In Context

35Hii ilikuwa ili kutimiza lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii aliposema: 1 “Nitafungua kinywa changu niseme nao kwa mifano; 2 nitahubiri mambo yaliyofichika 2 tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.” 1 Ufafanuzi Wa Mfano Wa Magugu

37Akawaambia, “Aliyepanda mbegu nzuri ni Mwana wa Adamu.

Read all of Matthew 13

Cross References

Matthew 13:1Siku iyo hiyo Yesu akatoka nje ya nyumba, akaketi kando ya bahari.

Matthew 14:22Mara Yesu akawaambia wanafunzi wake waingie kwenye mashua watangulie kwenda ngʼambo ya bahari, wakati yeye alikuwa akiwaaga wale makutano.

Matthew 15:39Baada ya kuaga ule umati wa watu, Yesu aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani. + 15:39 Magadani ni Magdala, mji wa Galilaya, kama kilomita 16 kusini mwa Kapernaumu.

Mark 6:45Mara Yesu akawaambia wanafunzi wake waingie kwenye mashua watangulie kwenda Bethsaida, wakati yeye alikuwa akiwaaga wale makutano.

Mark 8:9Watu waliokula walikuwa wapata 4,000. Akiisha kuwaaga,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 13:36

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 13:35Matthew 13Matthew 13:37 →