Matthew 13:37
Akawaambia, “Aliyepanda mbegu nzuri ni Mwana wa Adamu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He answered and said unto them, He that soweth the good seed is the Son of man;
In Context
38Shamba ni ulimwengu na mbegu nzuri ni wana wa Ufalme. Magugu ni wana wa yule mwovu.
Cross References
Isaiah 28:28Nafaka lazima isagwe ili kutengeneza mkate, 2 kwa hiyo mtu haendelei kuipura daima. 1 Ingawa huendesha magurudumu ya gari lake la kupuria juu yake, 2 farasi wake hawasagi. 1
Matthew 10:40“Mtu yeyote atakayewapokea ninyi atakuwa amenipokea mimi, na yeyote atakayenipokea mimi atakuwa amempokea yeye aliyenituma.
Matthew 13:27“Watumishi wa yule mwenye shamba wakamjia na kumwambia, ‘Bwana, si tulipanda mbegu nzuri shambani mwako? Basi, magugu yametoka wapi?’
Matthew 16:13Basi Yesu alipofika katika eneo la Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake, “Watu husema kwamba mimi Mwana wa Adamu ni nani?”
John 13:20Amin, amin nawaambia, yeyote anayempokea yule niliyemtuma anipokea mimi, naye anipokeaye mimi ampokea yeye aliyenituma mimi.” 1 Yesu Anatabiri Kusalitiwa Kwake (Mathayo 26:20-25; Marko 14:17-21; Luka 22:21-23)
Acts 1:8Lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, Uyahudi kote na Samaria, hadi miisho ya dunia.”