Matthew 13:58
Naye hakufanya miujiza mingi huko kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he did not many mighty works there because of their unbelief.
In Context
Cross References
Mark 6:5Hakufanya miujiza yoyote huko isipokuwa kuweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache na kuwaponya.
Romans 11:20Hii ni kweli. Matawi hayo yalikatwa kwa sababu ya kutokuamini kwake, lakini wewe umesimama tu kwa sababu ya imani. Kwa hiyo usijivune, bali simama kwa kuogopa.
Hebrews 4:6Kwa hiyo inabaki kuwa wazi kwa wengine kuingia, nao wale wa kwanza waliopokea Injili walishindwa kuingia kwa sababu ya kutokutii.