Mathayo 15:34
Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Tunayo mikate saba na visamaki vichache.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus saith unto them, How many loaves have ye? And they said, Seven, and a few little fishes.
In Context
35Yesu akawaambia ule umati wa watu waketi chini.
Cross References
Matthew 16:9Je, bado hamwelewi? Je, hamkumbuki ile mikate mitano iliyolisha watu 5,000 na idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya?
John 21:9Walipofika ufuoni, wakaona moto wa makaa na samaki wakiokwa juu yake na mikate.