Mathayo 15:35
Yesu akawaambia ule umati wa watu waketi chini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he commanded the multitude to sit down on the ground.
In Context
34Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Tunayo mikate saba na visamaki vichache.”
Cross References
Mark 6:39Kisha Yesu akawaamuru wawaketishe watu makundi makundi kwenye majani,
John 6:10Yesu akasema, “Waketisheni watu chini.” Palikuwa na majani mengi katika eneo lile, nao watu wakaketi. Palikuwa na wanaume wapatao 5,000.