The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 15 › Mathayo 15:6

Mathayo 15:6

basi hana tena sababu ya kumheshimu baba yake nacho. Basi kwa ajili ya mafundisho yenu mnavunja amri ya Mungu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And honour not his father or his mother, he shall be free. Thus have ye made the commandment of God of none effect by your tradition.

In Context

5Lakini ninyi mwafundisha kwamba mtu akimwambia baba yake au mama yake, ‘Kile ambacho ningeweza kukusaidia kimewekwa wakfu kwa Mungu,’

7Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba: 1

Read all of Mathayo 15

Cross References

Psalms 119:139Jitihada yangu imenidhoofisha, kwa kuwa adui zangu 2 wanayapuuza maneno yako. 1

Hosea 4:6watu wangu wanaangamizwa 2 kwa kukosa maarifa, 1 “Kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, 2 mimi nami nitakukataa wewe 2 usiwe kuhani kwangu mimi; 1 kwa kuwa umeacha kuijali sheria ya Mungu wako 2 mimi nami sitawajali watoto wako. 1

Mark 7:13Kwa njia hiyo ninyi mnabatilisha neno la Mungu kwa mapokeo yenu mliyojiwekea. Nanyi mnafanya mambo mengi ya aina hiyo.”

1 Timothy 5:3Waheshimu wanawake wajane ambao ni wajane kweli kweli.

1 Timothy 5:16Lakini kama mwanamke yeyote aaminiye ana wajane katika jamaa yake, inampasa awasaidie wala si kuwaacha wakililemea kanisa, ili kanisa liweze kuwasaidia wale ambao ni wajane kweli kweli. 1 Wazee Wa Kanisa

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 15:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 15:5Mathayo 15Mathayo 15:7 →