Matthew 15:7
Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ye hypocrites, well did Esaias prophesy of you, saying,
In Context
8“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, 2 lakini mioyo yao iko mbali nami. 1
Cross References
Matthew 7:5Ewe mnafiki, ondoa boriti ndani ya jicho lako kwanza, ndipo utaweza kuona dhahiri jinsi ya kuondoa kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako.
Mark 7:6Yesu akawajibu, “Nabii Isaya alisema ukweli alipotabiri juu yenu, ninyi wanafiki. Kama ilivyoandikwa: 1 “ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, 2 lakini mioyo yao iko mbali nami. 1