The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 16 › Mathayo 16:20

Mathayo 16:20

Kisha akawakataza wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote kwamba yeye ndiye Kristo. 1 Yesu Anatabiri Juu Ya Kifo Chake (Marko 8:31–9:1; Luka 9:22-27)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then charged he his disciples that they should tell no man that he was Jesus the Christ.

In Context

19Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni, na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa Mbinguni, nalo lolote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.”

21Tangu wakati huo, Yesu alianza kuwaeleza wanafunzi wake kwamba hana budi kwenda Yerusalemu na kupata mateso mengi mikononi mwa wazee, viongozi wa makuhani, na walimu wa sheria, na kwamba itampasa auawe lakini siku ya tatu kufufuliwa.

Read all of Mathayo 16

Cross References

Matthew 8:4Kisha Yesu akamwambia, “Hakikisha humwambii mtu yeyote. Lakini nenda ukajionyeshe kwa kuhani, na utoe sadaka aliyoamuru Mose, ili kuwa ushuhuda kwao.” 1 Yesu Amponya Mtumishi Wa Jemadari (Luka 7:1-10)

Mark 8:30Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake. 1 Yesu Atabiri Kifo Chake (Mathayo 16:21-28; Luka 9:22-27)

Luke 9:21Yesu akawakataza wasimwambie mtu yeyote jambo hilo.

John 1:41Kitu cha kwanza Andrea alichofanya ni kumtafuta Simoni nduguye na kumwambia, “Tumemwona Masiya” (yaani, Kristo).

John 20:31Lakini haya yameandikwa ili mweze kuamini ya kuwa Yesu ndiye Kristo, + 20:31 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Mwana wa Mungu, na kwa kumwamini mpate uzima katika jina lake.

1 John 2:22Je, mwongo ni nani? Mwongo ni mtu yule asemaye kwamba Yesu si Kristo. Mtu wa namna hiyo ndiye mpinga Kristo, yaani, yeye humkana Baba na Mwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 16:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 16:19Mathayo 16Mathayo 16:21 →