The Bible Software
bible.softwareMarkMark 8 › Mark 8:30

Mark 8:30

Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake. 1 Yesu Atabiri Kifo Chake (Mathayo 16:21-28; Luka 9:22-27)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he charged them that they should tell no man of him.

In Context

29Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo.” + 8:29 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.

31Ndipo akaanza kuwafundisha wanafunzi wake kuwa Mwana wa Adamu lazima atapata mateso mengi na kukataliwa na wazee, viongozi wa makuhani, na walimu wa sheria, na kwamba itampasa auawe lakini baada ya siku tatu afufuke.

Read all of Mark 8

Cross References

Matthew 16:20Kisha akawakataza wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote kwamba yeye ndiye Kristo. 1 Yesu Anatabiri Juu Ya Kifo Chake (Marko 8:31–9:1; Luka 9:22-27)

Mark 8:26Yesu akamuaga aende nyumbani kwake, akimwambia, “Hata kijijini usiingie.” 1 Petro Amkiri Yesu Kuwa Ndiye Kristo (Mathayo 16:13-20; Luka 9:18-21)

Luke 9:21Yesu akawakataza wasimwambie mtu yeyote jambo hilo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 8:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 8:29Mark 8Mark 8:31 →