Matthew 18:13
Naye akishampata, amin, nawaambia, hufurahi zaidi kwa ajili ya huyo kondoo mmoja kuliko wale tisini na tisa ambao hawakupotea.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 53:11Baada ya maumivu ya nafsi yake, 2 ataona nuru ya uzima na kuridhika; 1 kwa maarifa yake, mtumishi wangu mwenye haki 2 atawafanya wengi kuwa wenye haki, 2 naye atayachukua maovu yao. 1
Jeremiah 32:37Hakika nitawakusanya kutoka nchi zote nilizowafukuzia katika hasira yangu kali na ghadhabu yangu kuu, nitawarudisha mahali hapa na kuwaruhusu waishi kwa salama.
Zephaniah 3:17Bwana Mungu wako yu pamoja nawe, 2 yeye ni mwenye nguvu kuokoa. 1 Atakufurahia kwa furaha kubwa, 2 atakutuliza kwa pendo lake, 2 atakufurahia kwa kuimba.” 1
Luke 15:23Leteni ndama aliyenona, mkamchinje ili tuwe na karamu, tule na kufurahi.
James 2:13Kwa kuwa hukumu bila huruma itatolewa kwa mtu yeyote asiyekuwa na huruma. Huruma huishinda hukumu. 1 Imani Na Matendo