The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 19 › Mathayo 19:27

Mathayo 19:27

Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, sisi tumeacha kila kitu na kukufuata! Tutapata nini basi?”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then answered Peter and said unto him, Behold, we have forsaken all, and followed thee; what shall we have therefore?

In Context

26Lakini Yesu akawatazama, akawaambia, “Kwa mwanadamu jambo hili haliwezekani, lakini mambo yote yanawezekana kwa Mungu.”

28Yesu akawaambia, “Amin, nawaambia, wakati wa kufanywa upya vitu vyote, Mwana wa Adamu atakapoketi kwenye kiti chake kitukufu cha enzi, ninyi mlionifuata pia mtaketi katika viti vya enzi kumi na viwili, mkiyahukumu makabila kumi na mawili ya Israeli.

Read all of Mathayo 19

Cross References

Deuteronomy 33:9Alinena hivi kuhusu baba yake na mama yake, 2 ‘Mimi siwahitaji kamwe.’ 1 Akawasahau jamaa zake, 2 asiwatambue hata watoto wake, 1 lakini akaliangalia neno lako 2 na kulilinda Agano lako. 1

Matthew 9:9Yesu alipokuwa akienda kutoka huko, alimwona mtu mmoja jina lake Mathayo akiwa ameketi forodhani mahali pa kutoza ushuru. Yesu akamwambia, “Nifuate.” Mathayo akaondoka, akamfuata.

Mark 1:17Yesu akawaambia, “Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu.”

Mark 10:28Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha kila kitu na kukufuata wewe!”

Luke 5:27Baada ya haya, Yesu alitoka na kumwona mtoza ushuru mmoja jina lake Lawi akiwa amekaa forodhani, mahali pake pa kutoza ushuru. Akamwambia, “Nifuate.”

Luke 15:29Lakini yeye akamjibu baba yake, ‘Tazama! Miaka yote hii nimekutumikia na hata siku moja sijaacha kutii amri zako, lakini hujanipa hata mwana-mbuzi ili nifurahi na rafiki zangu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 19:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 19:26Mathayo 19Mathayo 19:28 →