The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 2 › Matthew 2:10

Matthew 2:10

Walipoiona ile nyota wakajawa na furaha kubwa mno.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When they saw the star, they rejoiced with exceeding great joy.

In Context

9Baada ya kumsikia mfalme, wale wataalamu wa nyota wakaenda zao, nayo ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, nao wakaifuata mpaka iliposimama mahali pale alipokuwa mtoto.

11Walipoingia ndani ya ile nyumba, wakamwona mtoto pamoja na Maria mama yake, wakamsujudu na kumwabudu yule mtoto Yesu. Ndipo wakafungua hazina zao, wakamtolea zawadi za dhahabu, uvumba na manemane.

Read all of Matthew 2

Cross References

Deuteronomy 32:13Akamfanya apande sehemu zilizoinuka za nchi, 2 akamlisha kwa mavuno ya mashamba. 1 Akamlea kwa asali toka mwambani, 2 na kwa mafuta kutoka mwamba mgumu, 1

Psalms 105:3Lishangilieni jina lake takatifu, 2 mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 1

Luke 2:20Wale wachungaji wakarudi, huku wakimtukuza Mungu na kumsifu kwa ajili ya mambo yote waliyokuwa wameambiwa na kuyaona.

Romans 15:9pia ili watu wa Mataifa wamtukuze Mungu kwa rehema zake. Kama ilivyoandikwa: 1 “Kwa hiyo nitakutukuza katikati ya watu wa Mataifa; 2 nitaliimbia sifa jina lako.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 2:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 2:9Matthew 2Matthew 2:11 →