Matthew 2:11
Walipoingia ndani ya ile nyumba, wakamwona mtoto pamoja na Maria mama yake, wakamsujudu na kumwabudu yule mtoto Yesu. Ndipo wakafungua hazina zao, wakamtolea zawadi za dhahabu, uvumba na manemane.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Walipoiona ile nyota wakajawa na furaha kubwa mno.
Cross References
Exodus 30:23“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500 + 30:23 Shekeli 500 ni sawa na kilo 6. za manemane ya maji, shekeli 250 + 30:23 Shekeli 250 ni sawa na kilo 3. za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri,
Leviticus 2:1“ ‘Mtu yeyote aletapo sadaka ya nafaka kwa Bwana, sadaka yake itakuwa ya unga laini. Atamimina mafuta juu yake, aweke uvumba juu yake,
Numbers 7:14sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, + 7:14 Shekeli 10 za dhahabu ni sawa na gramu 110. likiwa limejazwa uvumba;
1 Samuel 10:27Lakini baadhi ya watu wakorofi walisema, “Huyu mtu atawezaje kutuokoa?” Wakamdharau na wala hawakumletea zawadi. Lakini Sauli akanyamaza kimya.
1 Kings 10:10Naye akampa mfalme talanta 120 + 10:10 Talanta 120 za dhahabu ni sawa na tani 4.5. za dhahabu, kiasi kikubwa sana cha vikolezi na vito vya thamani. Haikuwahi kamwe kuletwa tena vikolezi vingi hivyo kuletwa kama vile malkia wa Sheba alivyompa Mfalme Solomoni.
Psalms 45:8Mavazi yako yote yana harufu nzuri 2 ya manemane, udi na mdalasini; 1 kutoka kwenye majumba ya kifalme 2 yaliyopambwa kwa pembe za ndovu, 1 sauti za vinanda vya nyuzi 2 zinakufanya ufurahi. 1