Matthew 2:12
Nao wakiisha kuonywa katika ndoto wasirudi kwa Herode, wakarudi kwenda katika nchi yao kwa njia nyingine. 1 Yosefu, Maria Na Mtoto Yesu Wakimbilia Misri
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 31:24Ndipo Mungu akamjia Labani Mwaramu katika ndoto usiku na kumwambia, “Jihadhari usiseme neno lolote kwa Yakobo, liwe zuri au baya.”
Job 33:15Mungu husema na mwanadamu katika ndoto, 2 katika maono ya usiku, 1 wakati usingizi mzito uwaangukiapo 2 wanadamu wasinziapo vitandani mwao, 1
Matthew 1:20Lakini mara alipoazimu kufanya jambo hili, malaika wa Bwana akamtokea katika ndoto na kusema, “Yosefu mwana wa Daudi, usiogope kumchukua Maria awe mke wako, kwa maana mimba aliyo nayo ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Matthew 2:19Baada ya Herode kufa, malaika wa Bwana akamtokea Yosefu katika ndoto huko Misri
Matthew 27:19Pilato akiwa ameketi kwenye kiti cha hukumu, mkewe akampelekea ujumbe huu: “Usiwe na jambo lolote juu ya mtu huyu asiye na hatia, kwa kuwa leo nimeteseka sana katika ndoto kwa sababu yake.”
Acts 5:29Petro na wale mitume wengine wakajibu, “Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.