Matthew 20:3
“Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he went out about the third hour, and saw others standing idle in the marketplace,
In Context
Cross References
Proverbs 19:15Uvivu huleta usingizi mzito, 2 naye mtu mzembe huona njaa. 1
Matthew 11:16“Lakini kizazi hiki nikifananishe na nini? Kinafanana na watoto waliokaa sokoni wakiwaita wenzao na kuwaambia, 1
Mark 15:25Ilikuwa yapata saa tatu asubuhi walipomsulubisha.
Acts 17:17Hivyo akahojiana kwenye sinagogi na Wayahudi pamoja na Wayunani waliomcha Mungu, na pia sokoni kila siku na watu aliopatana nao huko.
Hebrews 6:12ili msije mkawa wavivu, bali mpate kuwaiga wale ambao kwa imani na saburi hurithi zile ahadi. 1 Uhakika Wa Ahadi Ya Mungu