Matthew 21:7
Wakamleta yule punda na mwana-punda, nao wakatandika mavazi yao juu ya hao punda, naye Yesu akaketi juu yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And brought the ass, and the colt, and put on them their clothes, and they set him thereon.
In Context
6Wale wanafunzi wakaenda, wakafanya kama Yesu alivyokuwa amewaagiza.
Cross References
2 Kings 9:13Wakaharakisha kuvua mavazi yao, na kuyatandaza chini ya Yehu ili akanyage juu kwenye ngazi ya nje. Kisha wakapiga tarumbeta na kupaza sauti wakisema, “Yehu ni mfalme!” 1 Yehu Anamuua Yoramu Na Ahazia
Luke 19:32Wale waliotumwa wakaenda, wakakuta kila kitu kama vile Yesu alivyokuwa amewaambia.