The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 22 › Mathayo 22:15

Mathayo 22:15

Ndipo Mafarisayo wakatoka nje wakaandaa mpango wa kumtega Yesu katika maneno yake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then went the Pharisees, and took counsel how they might entangle him in his talk.

In Context

14“Kwa maana walioitwa ni wengi, lakini walioteuliwa ni wachache.” 1 Kulipa Kodi Kwa Kaisari (Marko 12:13-17; Luka 20:20-26)

16Wakatuma wanafunzi wao kwake pamoja na Maherode. Nao wakasema, “Mwalimu, tunajua kwamba wewe ni mtu mwadilifu na unafundisha njia ya Mungu katika kweli bila kuyumbishwa na mtu wala kuonyesha upendeleo.

Read all of Mathayo 22

Cross References

Psalms 41:6Kila anapokuja mtu kunitazama, 2 huzungumza uongo, 1 huku moyo wake hukusanya masingizio; 2 kisha huondoka na kuyasambaza huku na huko. 1

Psalms 57:6Waliitegea miguu yangu nyavu, 2 nikainamishwa chini na dhiki. 1 Wamechimba shimo katika njia yangu, 2 lakini wametumbukia humo wao wenyewe. 1

Isaiah 29:21wale ambao kwa neno humfanya mtu kuwa mwenye hatia, 2 wamtegeao mtego mtetezi katika mahakama, 1 na kwa ushuhuda wa uongo humnyima haki 2 yeye asiye na hatia.

Jeremiah 20:10Ninasikia minongʼono mingi, 2 “Hofu iko pande zote! 2 Mshtakini! Twendeni tumshtaki!” 1 Rafiki zangu wote wananisubiri niteleze, 2 wakisema, 1 “Labda atadanganyika; 2 kisha tutamshinda 2 na kulipiza kisasi juu yake.” 1

Luke 11:53Yesu alipoondoka huko, walimu wa sheria na Mafarisayo wakaanza kumpinga vikali na kumsonga kwa maswali,

Hebrews 12:3Mtafakarini sana yeye aliyestahimili upinzani mkuu namna hii kutoka kwa watu wenye dhambi, ili kwamba msije mkachoka na kukata tamaa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 22:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 22:14Mathayo 22Mathayo 22:16 →