Matthew 22:41
Wakati Mafarisayo walikuwa wamekusanyika pamoja, Yesu akawauliza,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
While the Pharisees were gathered together, Jesus asked them,
In Context
Cross References
Matthew 22:15Ndipo Mafarisayo wakatoka nje wakaandaa mpango wa kumtega Yesu katika maneno yake.
Mark 12:35Yesu alipokuwa akifundisha Hekaluni, akauliza, “Imekuwaje walimu wa sheria wanasema kwamba Kristo + 12:35 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. ni Mwana wa Daudi?