Matthew 22:42
“Mnaonaje kuhusu Kristo? + 22:42 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Yeye ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Saying, What think ye of Christ? whose son is he? They say unto him, The Son of David.
In Context
41Wakati Mafarisayo walikuwa wamekusanyika pamoja, Yesu akawauliza,
Cross References
Isaiah 7:13Ndipo Isaya akasema, “Sikia sasa, ewe nyumba ya Daudi! Je, haitoshi kujaribu uvumilivu wa wanadamu? Je, mtaujaribu uvumilivu wa Mungu wangu pia?
Isaiah 11:1Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, 2 kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda. 1
Ezekiel 34:23Nitaweka juu yao mchungaji mmoja, mtumishi wangu Daudi, naye atawachunga, atawachunga na kuwa mchungaji wao.
Matthew 1:1Habari za ukoo wa Yesu Kristo mwana wa Daudi, mwana wa Abrahamu: 1
Matthew 9:27Yesu alipokuwa akiondoka mahali pale, vipofu wawili wakamfuata wakipiga kelele kwa nguvu na kusema, “Mwana wa Daudi, tuhurumie!”
Matthew 16:13Basi Yesu alipofika katika eneo la Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake, “Watu husema kwamba mimi Mwana wa Adamu ni nani?”