The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 24 › Mathayo 24:27

Mathayo 24:27

Kwa maana kama vile umeme utokeavyo mashariki na kuonekana hata magharibi, ndivyo itakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For as the lightning cometh out of the east, and shineth even unto the west; so shall also the coming of the Son of man be.

In Context

26“Kwa hiyo mtu yeyote akiwaambia, ‘Yule kule nyikani,’ msiende huko. Au akisema, ‘Yuko kwenye chumba,’ msisadiki.

28Kwa maana popote ulipo mzoga, huko ndiko wakusanyikapo tai. 1 Kuja Kwa Mwana Wa Adamu (Marko 13:24-31; Luka 21:25-33)

Read all of Mathayo 24

Cross References

Job 37:3Huuachilia umeme wake wa radi chini ya mbingu yote 2 na kuupeleka hata miisho ya dunia. 1

Isaiah 30:30Bwana atawasababisha watu waisikie sauti yake ya utukufu, 2 naye atawafanya wauone mkono wake ukishuka 1 pamoja na hasira yake kali na moto ulao, 2 kukiwa na tufani ya mvua, 2 ngurumo za radi na mvua ya mawe. 1

Malachi 3:2Lakini ni nani atakayeweza kustahimili hiyo siku ya kuja kwake? Ni nani awezaye kusimama atakapotokea? Kwa kuwa atakuwa kama moto wa mfua fedha au kama sabuni ya afuaye nguo.

Matthew 8:20Naye Yesu akamjibu, “Mbweha wana mapango, nao ndege wa angani wana viota, lakini Mwana wa Adamu hana mahali pa kulaza kichwa chake.”

Matthew 24:3Yesu alipokuwa ameketi kwenye Mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamjia faraghani, wakamuuliza, “Tuambie, mambo haya yatatukia lini, nayo dalili ya kuja kwako na ya mwisho wa dunia ni gani?”

Matthew 24:39Nao hawakujua lolote mpaka gharika ilipokuja ikawakumba wote. Hivyo ndivyo itakavyokuwa atakapokuja Mwana wa Adamu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 24:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 24:26Mathayo 24Mathayo 24:28 →