The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 24 › Matthew 24:39

Matthew 24:39

Nao hawakujua lolote mpaka gharika ilipokuja ikawakumba wote. Hivyo ndivyo itakavyokuwa atakapokuja Mwana wa Adamu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And knew not until the flood came, and took them all away; so shall also the coming of the Son of man be.

In Context

38Kwa maana siku zile kabla ya gharika, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Noa alipoingia katika safina.

40Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.

Read all of Matthew 24

Cross References

Judges 20:34Ndipo watu 10,000 bora waliochaguliwa katika Israeli wote, wakaja kuishambulia Gibea. Vita vilikuwa vikali sana, hata Wabenyamini hawakutambua kuwa maangamizi yalikuwa karibu nao kwa kiasi hicho.

Proverbs 24:12Kama mkisema, “Lakini hatukujua lolote kuhusu hili,” 2 je, yule apimaye mioyo halitambui hili? 1 Je, yule awalindaye maisha yenu halijui hili? 2 Je, hatamlipa kila mtu kulingana na aliyotenda? 1

Isaiah 42:25Hivyo akawamwagia hasira yake inayowaka, 2 ukali wa vita. 1 Iliwazunguka kwa miali ya moto, lakini hata hivyo hawakuelewa; 2 iliwateketeza, lakini hawakuyatia moyoni.

Matthew 13:13Hii ndiyo sababu nasema nao kwa mifano: 1 “Ingawa wanatazama, hawaoni; 2 wanasikiliza, lakini hawasikii, wala hawaelewi.

Luke 19:44Watakuponda chini, wewe na watoto walioko ndani ya kuta zako. Nao hawataacha hata jiwe moja juu ya jingine, kwa sababu hukutambua wakati wa kujiliwa kwako.” 1 Yesu Atakasa Hekaluni (Mathayo 21:12-17; Marko 11:15-19; Yohana 2:13-22)

Acts 13:41“ ‘Angalieni, enyi wenye dhihaka, 2 mkastaajabu, mkaangamie, 1 kwa maana nitatenda jambo wakati wenu 2 ambalo hamtasadiki, 2 hata kama mtu akiwaambia.’ ”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 24:39

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 24:38Matthew 24Matthew 24:40 →