Matthew 24:42
“Basi kesheni, kwa sababu hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana wenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Watch therefore: for ye know not what hour your Lord doth come.
In Context
41Wanawake wawili watakuwa wanasaga pamoja, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Cross References
Matthew 24:36“Kwa habari ya siku ile na saa, hakuna ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake.
Matthew 25:13“Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa. 1 Mfano Wa Watumishi Watatu Na Talanta (Luka 19:11-27)
Mark 13:33Jihadharini! Kesheni! Kwa maana hamjui wakati ule utakapowadia.
Luke 21:36Kesheni daima na mwombe ili mweze kuokoka na yale yote yatakayotokea na kusimama mbele ya Mwana wa Adamu.”
1 Corinthians 16:13Kesheni, simameni imara katika imani, fanyeni kiume, kuweni mashujaa kuweni hodari.
1 Peter 4:7Mwisho wa mambo yote umekaribia. Kwa hiyo kuweni na akili tulivu na kiasi, mkikesha katika kuomba.